Papa ValentinoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Papa Valentino alikuwa Papa kwa wiki chache tu kuanzia mwezi Agosti 827 hadi kifo chake mnamo Septemba 827[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2]. Papa Valentino. Alimfuata Papa Eugenio II akafuatwa na Papa Gregori IV.
Papa Valentino alikuwa Papa kwa wiki chache tu kuanzia mwezi Agosti 827 hadi kifo chake mnamo Septemba 827[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2]. Papa Valentino. Alimfuata Papa Eugenio II akafuatwa na Papa Gregori IV.