Papa Callixtus III
Papa kutoka 1455 hadi 1458 kutoka kwa familia ya Borgia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Callixtus III (31 Desemba 1378 – 6 Agosti 1458) alikuwa Papa kuanzia tarehe 8/20 Aprili 1455 hadi kifo chake[1]. Alitokea Jativa, Hispania[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alonso Borja.
Alimfuata Papa Nikolasi V akafuatwa na Papa Pius II.