Papa Nikolasi V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Nikolasi V (15 Novemba 1397 ā 24 Machi 1455) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/19 Machi 1447 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sarzana, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tommaso Parentucelli.
Alimfuata Papa Eugenio IV akafuatwa na Papa Kalisti III.