![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/8a/Gabon_-_Ogoou%25C3%25A9-Lolo.svg/langsw-640px-Gabon_-_Ogoou%25C3%25A9-Lolo.svg.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Ogooué-Lolo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Ogooué-Lolo ni moja kati ya mikoa tisa ya nchini Gabon. Mji mkuu wa mkoa huu ni Koulamoutou, mji unaokadiriwa kuwa na watu 16,000. Huu ni mji wa tisa kwa ukubwa huko nchini Gabon na ni nyumbani mwa theluthi moja ya wakazi wa mkoani hapa.
- Eneo: 25,380 km²
- Kifupisho cha herufi mbili/HASC: GA-OL
- ISO 3166-2: GA-07
- Idadi (1993): 43,915
![]() | Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (Desemba 2009) |
![Mkoa wa Ogooué-Lolo](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/8a/Gabon_-_Ogoou%C3%A9-Lolo.svg/640px-Gabon_-_Ogoou%C3%A9-Lolo.svg.png)
Urefu wake unakwenda 3 S hadi 2 N na kutoka 10 E to 11 E.
Kwa upande wa kusini, Ogooué-Lolo umepakana na Mkoa wa Niari ambao ni wa Jamhuri ya Kongo. Kwa nyumbani, umepakana na mikoa ifuatayo:
- Ngounié - magharibi
- Moyen-Ogooué - kaskazinimagharibi
- Ogooué-Ivindo - kaskazini
- Haut-Ogooué - mashariki