![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0a/Gabon_-_Ngouni%25C3%25A9.svg/langsw-640px-Gabon_-_Ngouni%25C3%25A9.svg.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Ngounié
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ngounié ni moja kati ya mikoa tisa ya nchini Gabon. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 37,750.
![]() | Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (Desemba 2009) |
![Mkoa wa Ngounié](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0a/Gabon_-_Ngouni%C3%A9.svg/640px-Gabon_-_Ngouni%C3%A9.svg.png)
Mji mkuu wa mkoa huu ni Mouila.
Kwa upande wa kusini-mashariki, Ngounié umepakana na Mkoa wa Niari wa Jamhuri ya Kongo. Kwa upande wa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:
- Nyanga - kusini
- Ogooué-Maritime - magharibi
- Moyen-Ogooué - kaskazini
- Ogooué-Ivindo - kaskazini-mashariki, kwenye pembe nne ya nchi
- Ogooué-Lolo - mashariki