Nnamdi Azikiwe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Benjamin Nnamdi Azikiwe (kwa kawaida hujulikana kama Nnamdi Azikiwe, au, kinyumbani na maarufu, Zik; 16 Novemba 1904 – 11 Mei 1996) alikuwa mwanzilishi wa nadharia ya siasa ya utaifa wa Nigeria na pia rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia wa Nigeria ya leo. Alishirikilia nafasi kama mwanajamhuri wa kwanza wa Nigeria.
Azikiwe alifafanua siasa ya "Uziki" katika maandishi yake, kama vile: Renascent Africa (1973) na historia ya maisha yake: My Odyssey.