Mwanga (mji)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama hapa
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Jiji ya Mwanga | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kilimanjaro |
Wilaya | Mwanga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 15,738 |
Funga
Mwanga ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,125 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,783 [2] walioishi humo.
Mwanga uko kwenye barabara kuu takriban kati ya Moshi na Same mguuni pa milima ya Pare Kaskazini.