Moshi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Moshi ni jina la kutaja mahali katika Tanzania kaskazini-mashariki:
- Wilaya ya Moshi Vijijini;
- Wilaya ya Moshi Mjini;
- Mji wa Moshi ambao ni makao makuu ya wilaya hiyo ya Moshi Mjini na pia ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa lugha ya kila siku ni wingu linalotokea juu ya moto
![]() |
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja. |