Mto Mille
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Mille unapatikana nchini Ethiopia kama tawimto la mto Awash[1] ambao unaungana nao kwenye majiranukta 11°25′N 40°58′E.
Mto Mille unapokea kwanza maji ya mto Ala (A'ura) na Mto Golima (Golina)[2].