Mto AwashFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mto Awash (kwa Kiamhara: አዋሽ; pia: Hawash, We'ayot, Webiga Dir) unapatikana nchini Ethiopia. Hauishii baharini, ila katika mfululizo wa maziwa. Upande wa chini wa bonde lake umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.
Mto Awash (kwa Kiamhara: አዋሽ; pia: Hawash, We'ayot, Webiga Dir) unapatikana nchini Ethiopia. Hauishii baharini, ila katika mfululizo wa maziwa. Upande wa chini wa bonde lake umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.