From Wikipedia, the free encyclopedia
Montell Jordan (amezaliwa tar. 3 Desemba 1968) ni mwimbaji, mtunzi wanyimbo, na mtayarishaji wa rekodi za muziki kutoka nchini Marekani. Jordan amekuwa msanii wa kujitegemea mkubwa kwenye studio ya Def Soul hadi hapo alipokuja kuondoka kwenye studio hiyo mnamo mwaka wa 2003.
Montell Jordan | |
---|---|
Montell Jordan, mnamo 2008 | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Montell Du'Sean Barnett[1] |
Amezaliwa | 3 Desemba 1968 Los Angeles, California, Marekani |
Aina ya muziki | R&B, New Jack Swing, Hip hop |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi |
Miaka ya kazi | 1994–mpaka sasa |
Studio | PMP/RAL, Def Soul (1995–2002) Koch (2003–2004) Universal/Fontana (2008) |
Ame/Wameshirikiana na | Shae Jones |
Tovuti | montellmusic.com |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.