![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4a/Worodougou_region_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg/640px-Worodougou_region_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg&w=640&q=50)
Mkoa wa Worodougou
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Worodougou (kwa Kifaransa: Région du Worodougou) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Mkoa wa Worodougou | |
![]() katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Woroba |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Woroba |
Serikali[1] | |
- Prefect | Bamba Moussa |
- Rais wa Baraza | Bouaké Fofana |
Eneo[2] | |
- Jumla | 21 900 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 272,334 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Uko katika Magharibi ya Kati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Séguéla. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 272,334.