Jimbo la Woroba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jimbo la Woroba (kwa Kifaransa: District du Woroba) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko magharibi mwa nchi[1].
Ukweli wa haraka Nchi, - Wakazi kwa ujumla ...
Jimbo la Woroba | |
Eneo katika Côte d'Ivoire |
|
Majiranukta: 8°22′6″N 6°44′46″W | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Woroba |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 845,139[1] |
Funga
Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 845,139[1].
Makao makuu yako Séguéla.