Mkoa wa Pemba Kaskazini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Pemba Kaskazini ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 75000 [1].
Ukweli wa haraka
Mkoa wa Pemba Kaskazini | |
Mahali pa Pemba Kaskazini katika Tanzania | |
Majiranukta: 5°1′54.84″S 39°46′32.16″E |
Funga
Uko katika sehemu ya kaskazini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Zanzibar katika Muungano wa Tanzania.
Mkoa una wakazi 272,091 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 [2].
Makao makuu ya mkoa yako wilayani Wete.