![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/af/Hambol_region_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg/640px-Hambol_region_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg&w=640&q=50)
Mkoa wa Hambol
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Hambol (kwa Kifaransa: Région du Hambol) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Mkoa wa Hambol | |
![]() katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Vallée du Bandama |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Vallée du Bandama |
Serikali[1] | |
- Prefect | Omepieu Yul Lambert |
- Rais wa Baraza | Brahima Traoré |
Eneo[2] | |
- Jumla | 19,122 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 429,977 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Uko katikati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Katiola. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 429,977.