Wilaya ya Katiola
Wilaya ya Cote d'Ivoire / From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Katiola (kwa Kifaransa: département De Katiola) ni moja kati ya Wilaya tatu za Mkoa wa Hambol ulioko katikati mwa Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Wilaya ya Katiola | |
Eneo la Wilaya ya Katiola. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Vallée du Bandama |
Mkoa | Hambol |
Serikali[1] | |
- Prefect | Omepieu Yul Lambert |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 106,905 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 106,905.
Makao makuu ya eneo hilo ni Katiola.
Wilaya ya Katiola sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo: