![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/ff/Aksaray_districts.png/640px-Aksaray_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Aksaray
From Wikipedia, the free encyclopedia
Aksaray ni mkoa wa kati nchini Uturuki. Mkoa huu unapakana na mikoa mingine kama vile Konya kwa upande wa magharibi na kusini yake, Niğde kwa upande wa kusini-mashariki, Nevşehir kwa upande mashariki, na Kırşehir kwa upande wa kaskazini. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,626. Mji mkuu wa mkoa huu ni Aksaray.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Aksaray nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Aksaray nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 7,626 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 425,612 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 68 |
Kodi ya eneo: | 0382 |
Tovuti ya Gavana | http://www.aksaray.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/aksaray |
Funga