![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/ff/Aksaray_districts.png/640px-Aksaray_districts.png&w=640&q=50)
Aksaray
From Wikipedia, the free encyclopedia
Aksaray ni mji uliopo Anatolia ya Kati nchini Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Aksaray.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/ff/Aksaray_districts.png/640px-Aksaray_districts.png)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c0/Aksaray68.jpg/640px-Aksaray68.jpg)
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi waishio katika wilaya hiyo ni 236,560 ambao wengine 129,949 wanaishi katika mji wa Aksaray.[1][2]
Wilaya imechukua eneo la km 4,589 (na 1,772 sq mi),[3] na wastani wa mapolomoko ni m 980 (na ft 3,215), na kilele kirefu cha Mlima Hasan mnamo 3,253 m (na ft 10,673).