![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a7/Konya_districts.png/640px-Konya_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Konya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Konya ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wa mkoa huu ni Konya. Huu ni mkoa mkubwa kabisa katika Uturuki kieneo.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Konya nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Konya nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 38,257 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 2,412,104 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 42 |
Kodi ya eneo: | 0332 |
Tovuti ya Gavana | http://www.konya.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/konya |
Funga