From Wikipedia, the free encyclopedia
Miami ni mji wa Marekani katika jimbo la Florida mwenye wakazi 480,00 na pamoja na rundiko la jiji ni takriban milioni 2.2 katika eneo lake. Mji upo m 2 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Miami | |||
| |||
Mahali pa mji wa Miami katika Marekani |
|||
Majiranukta: 25°47′16″N 80°13′27″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Florida | ||
Wilaya | Miami-Dade | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 362,470 | ||
Tovuti: www.ci.miami.fl.us |
Mji ulianzishwa mwaka 1896 ukiwa na wakazi 300 pekee. Ukakua sana baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Baada ya mapinduzi ya Fidel Castro katika Kuba ulipokea wakimbizi wengi kutoka kisiwa kile na kuwa kitovu cha utamaduni wenye lugha ya Kihispania katika Marekani.
Sehemu muhimu ya uchumi ni utalii.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Miami kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.