![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/73/Flag_of_Malta.svg/langsw-640px-Flag_of_Malta.svg.png&w=640&q=50)
Malta
jimbo kuu la Kusini mwa Ulaya lililo kwenye visiwa katika Bahari ya Mediterania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Malta ni nchi ndogo kwenye funguvisiwa katikati ya bahari ya Mediteranea.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: L-Innu Malti | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Valletta 35°48′ N 14°28′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Birkirkara | ||||
Lugha rasmi | Kimalta, Kiingereza | ||||
Serikali Rais Waziri Mkuu |
Jamhuri George Vella Robert Abela | ||||
Uhuru Kutoka Uingereza Jamhuri |
21 Septemba 1964 13 Desemba 1974 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
316 km² (ya 185) 0.001 | ||||
Idadi ya watu - 31 Machi 2013 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
446,547 (ya 171) 416,055¹ 1,562/km² (ya 7) | ||||
Fedha | Lira ya Malta (Lm) (Euro kuanzia Januari 2008) ( MTL ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .mt 2 | ||||
Kodi ya simu | +356
- |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/79/Malta-CIA_WFB_Map.png/320px-Malta-CIA_WFB_Map.png)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/bc/Satelite_image_of_Malta.jpg/640px-Satelite_image_of_Malta.jpg)
Malta iko km 93 kusini kwa kisiwa cha Sisilia (Italia), upande wa mashariki kwa Tunisia na kaskazini kwa Libya.