![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/3c/Don_Orione.jpg/640px-Don_Orione.jpg&w=640&q=50)
Luigi Orione
From Wikipedia, the free encyclopedia
Luigi Orione (Pontecurone, Piemonte, 23 Juni 1872 – Sanremo, Liguria, 12 Machi 1940) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/3c/Don_Orione.jpg/640px-Don_Orione.jpg)
Alianzisha shirika la kitawa la Wana wa Maongozi ya Mungu limsaidie kukabili matatizo ya jamii hasa upande wa vijana.
Yote hayo yalitokana na huruma yake kubwa kwa maskini, ili kuwatimizia mahitaji yao duniani kote.
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kwanza mwenye heri tarehe 26 Oktoba 1990, halafu mtakatifu tarehe 16 Mei 2004[1].