![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/88/Liz_Carpenter_in_the_University_of_Texas_at_Arlington%2527s_Library%2527s_Special_Collections_%252810003849%2529_%2528cropped%2529.jpg/640px-Liz_Carpenter_in_the_University_of_Texas_at_Arlington%2527s_Library%2527s_Special_Collections_%252810003849%2529_%2528cropped%2529.jpg&w=640&q=50)
Liz Carpenter
Mwandishi wa Marekani (1920-2010) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mary Elizabeth Sutherland Carpenter (Septemba 1, 1920 - Machi 20, 2010) alikuwa mwandishi, mwanaharakati, ripota, mshauri wa vyombo vya habari, mwandishi wa hotuba, mwanasiasa, na mtaalamu wa mahusiano ya umma . [1] [2] [3]
'
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amefariki ...
Liz Carpenter | |
---|---|
![]() Liz Carpenter mnamo 1987 | |
Amezaliwa | Septemba 1, 1920 |
Amefariki | Machi 20, 2010 |
Kazi yake | mwandishi, mwanaharakati, ripota, mshauri wa vyombo vya habari, mwandishi wa hotuba, mwanasiasa, na mtaalamu wa mahusiano ya umma |
Funga
Alikua mwanamke wa kwanza kuwa mtendaji msaidizi wa Makamu wa Raisi Lyndon Baines Johnson tangu mwaka 1961 hadi 1963, na pia alikua katibu wa waandishi wa habari wa mke wa Raisi Bird Johnson kutoka mwaka 1963 hadi 1969, Carpenter alikuwa mwanachama mashuhuri na pia rafiki wa karibu wa Johnson White House.