![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/44/Leslie_Hope_Comic-Con_2011.jpg/640px-Leslie_Hope_Comic-Con_2011.jpg&w=640&q=50)
Leslie Hope
From Wikipedia, the free encyclopedia
Leslie Hope (amezaliwa mjini Halifax, Nova Scotia, 6 Mei 1965) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Kanada. Amepata kuonekana katika filamu na tamthilia za Kikanada na Kimarekani. Alimaliza elimu yake ya juu katika Chuo Kikuu cha Mt. Michael kilichopo mjini Victoria, British Kolumbia, mnamo mwaka wa 1982. Ameolewa na sinematografa, mtayarishaji na mwongozaji Adam Kane. Hope, huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Terri Bauer katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Ndoa ...
Leslie Hope | |
---|---|
Amezaliwa | Leslie Ann Hope 6 Mei 1965 (1965-05-06) (umri 59) Halifax, Nova Scotia, Kanada |
Ndoa | Jamie Angell (1994–1996) mtoto 1 |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/44/Leslie_Hope_Comic-Con_2011.jpg/640px-Leslie_Hope_Comic-Con_2011.jpg)