![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/54/Victoriaharbour2.jpg/640px-Victoriaharbour2.jpg&w=640&q=50)
Victoria, British Kolumbia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Victoria ni mji mkuu wa mkoa wa British Kolumbia, Kanada. Mji umepewa jina hili baada ya Malkia Victoria.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/54/Victoriaharbour2.jpg/640px-Victoriaharbour2.jpg)
Zaidi ya watu 300,000 wanaishi kwenye mji huu wa Victoria. Watu wengi waishio mji huu hufanya kazi serikalini au kwenye sekta ya utalii. Mji una joto sana wakati huo kuliko miji mingine ya Kanada, Wakanada wengi huama pale wanapo stahafu kazi.