![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c1/Halifaxnighttime.jpg/640px-Halifaxnighttime.jpg&w=640&q=50)
Nova Scotia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nova Scotia (jina la Kilatini; kwa Kiingereza: New Scotland; kwa Kigaeli: Alba nuadh; kwa Kifaransa: Nouvelle-Écosse; kwa Kiswahili: Uskoti Mpya) ni jimbo la Kanada upande wa mashariki ya nchi. Limepakana na New Brunswick upande wa magharibi, Bahari Atlantiki upande wa mashariki.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c1/Halifaxnighttime.jpg/640px-Halifaxnighttime.jpg)
Nova Scotia ni jimbo dogo la pili la Kanada. Ni moja kati ya majimbo 3 ya baharini (kwa Kiingereza: Maritime provinces).
Mji mkuu na mji mkubwa ni Halifax.
Jimbo lina wakazi wapatao 939,531 (2009) katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 55,283.