Teri Bauer
From Wikipedia, the free encyclopedia
Teri Bauer ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Leslie Hope.
Ukweli wa haraka Imechezwa na, Hali ...
Teri Bauer | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
![]() Leslie Hope kama Teri Bauer | |
Imechezwa na | Leslie Hope |
Hali | Amekufa |
Familia | Jack Bauer, Kim Bauer |
Misimu | 1 |
Mionekano Mingine | Hakuna |
Maelezo |
Funga