Kwale
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kwale ni jina la:
- Kwale (ndege) - jamii ya ndege
- Kwale (Kenya) - mji mdogo wa Kenya
- Kwale (Chakechake) - kata ya wilaya ya Chake Chake kisiwani Pemba, Tanzania
- Kwale (Kisiju) - kisiwa kidogo cha kata ya Kisiju mbele ya pwani ya Tanzania upande wa kaskazini wa delta ya mto Rufiji.
- Kwale (Mkinga) - kata ya Wilaya ya Mkinga katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.
- Kwale (Tanga) - kisiwa cha mkoa wa Tanga
- Kwale (Zanzibar) - kisiwa cha wilaya ya Unguja Magharibi, Zanzibar
![]() |
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja. |