![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f2/Flag_of_Costa_Rica.svg/langsw-640px-Flag_of_Costa_Rica.svg.png&w=640&q=50)
Kosta Rika
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kosta Rika (kwa Kihispania: Costa Rica, yaani Pwani Tajiri) ni nchi ya Amerika ya Kati.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: ¡Vivan siempre el trabajo y la paz! | |||||
Wimbo wa taifa: Noble patria, tu hermosa bandera | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | San Jose 9°56′ N 84°5′ W | ||||
Mji mkubwa nchini | San Jose | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali Rais |
Jamhuri, demokrasia Luis Guillermo Solís | ||||
Uhuru Tarehe |
15 Septemba 1821 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
51,100 km² (ya 129) 0.7% | ||||
Idadi ya watu - [[]] kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
(ya 119) 4,586,353 84/km² (ya 107) | ||||
Fedha | colón (CRC ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .cr | ||||
Kodi ya simu | +506
- |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/43/Cs-map-EN.png/320px-Cs-map-EN.png)
Imepakana na Nikaragua na Panama; kuna pwani ya Pasifiki upande wa magharibi na pwani ya Bahari ya Karibi upande wa mashariki.
Kosta Rika ilikuwa nchi ya kwanza duniani ya kufuta jeshi lake kikatiba. Pia inaongoza kwa kuhifadhi mazingira.
Mji mkuu ni San José.