Kisiwa cha Toten
Kisiwa kilichopo Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisiwa cha Toten ni kisiwa kimojawapo cha Tanzania ambacho kinapatikana katika hori ya Tanga kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/94/Makaburi_ya_kisiwa_cha_Toten_yalivyokua_mwaka_1928.jpg/640px-Makaburi_ya_kisiwa_cha_Toten_yalivyokua_mwaka_1928.jpg)
Kisiwa kina eneo la takriban hektari 16. Kinasemekana kuwa na umbo la tanga la jahazi na hapo ni asili ya jina la mji wa Tanga.