Kayeni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kayeni (kwa Kifaransa: Cayenne) ni mji mkuu wa wilaya na eneo la ng'ambo la Ufaransa la Guyani ya Kifaransa. Kuna wakazi 63,468 (2021) katika eneo la 23.60 km².
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Kayeni Cayenne |
|
Majiranukta: 4°56′05″N 52°19′49″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Guyani ya Kifaransa |
Wilaya | Guyani ya Kifaransa |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 63,468 |
Tovuti: www.guyane.pref.gouv.fr |
Funga
Mji uko kwenye rasi ya nchi kando ya mdomo wa Mto Kayeni unapoishia katika Atlantiki.
Baharini mbele ya pwani kipo Kisiwa cha Sheitani kilichokuwa kisiwa cha gereza cha Ufaransa kati ya miaka 1852 na 1946.