Kamanga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kamanga ni kijiji katika Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, chenye idadi ya watu karibu 5,000.
Kiko kando ya vijiji vingine vinne, ambavyo kwa jumla vinaunda kata ya Nyamatongo. Kata hiyo ina wakazi karibu 30,000.[1]