![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/91/StJohnMaron.jpg/640px-StJohnMaron.jpg&w=640&q=50)
John Maron
From Wikipedia, the free encyclopedia
John Maron (kwa Kiarabu يوحنا مارون, Yuhanna Marun; Sirmaniyah au Sarmin nchini Syria, 628 – Kfarhy, Lebanon, 707) aliongoza Kanisa la Wamaroni kama Patriarki wake wa kwanza.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/91/StJohnMaron.jpg/640px-StJohnMaron.jpg)
Baada ya kuwa mmonaki wa monasteri ya Mtakatifu Maroni, mwaka 676 alipewa uaskofu, halafu akawa askofu mkuu wa mji wa Antiokia kuanzia mwaka 685 hadi alipofariki.
Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu.