![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/68/Joe_Biden_presidential_portrait.jpg/640px-Joe_Biden_presidential_portrait.jpg&w=640&q=50)
Joe Biden
Makamu wa 47 wa Rais wa Merika / From Wikipedia, the free encyclopedia
Joseph Robinette "Joe" Biden Jr. (amezaliwa 20 Novemba 1942) ni mwanasiasa wa Marekani.
Ukweli wa haraka Makamu wa Rais, mtangulizi ...
Joe Biden | |
![]() | |
Aliingia ofisini Januari 20, 2021 (2021-01-20) | |
Makamu wa Rais | Kamala Harris |
---|---|
mtangulizi | Donald Trump |
Muda wa Utawala Januari 3, 1973 (1973-01-03) ā Januari 15, 2009 (2009-01-15) | |
mtangulizi | J. Caleb Boggs |
aliyemfuata | Ted Kaufman |
tarehe ya kuzaliwa | Novemba 20 1942 (1942-11-20) (umri 81) Scranton, Pennsylvania, Marekani |
utaifa | Marekani |
chama | Democratic |
ndoa | Jill Biden |
watoto | Beau Biden (b. 1969) Hunter Biden (b. 1970) Naomi "Amy" Biden (b. 1971) Ashley Biden (b. 1981) |
signature | ![]() |
tovuti | Joe Biden |
Funga
Kuanzia mwaka wa 1973 hadi 2009 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Delaware. Halafu alikuwa Makamu wa Rais wa Marekani chini ya Rais Barack Obama kuanzia mwaka wa 2009 hadi 2017, akiwa Mkatoliki wa kwanza na pia Mdelaware wa kwanza kuwa Kaimu Rais.
Mnamo Machi wa mwaka 2019, Biden alitangaza kugombea nafasi ya Rais wa Marekani mwaka 2020.[1] Biden alishinda uchaguzi mkuu mnamo Novemba 2020 dhidi ya rais aliyemtangulia Donald Trump[2].