Jimbo Kuu la Mbeya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jimbo Kuu la Mbeya (kwa Kilatini "Archidioecesis Mbeyaƫnsis") ni mojawapo kati ya majimbo 35 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Maelezo zaidi Imani, Muundo ...
Funga
Kikanisa linasimamia jimbo Katoliki la Iringa, Jimbo Katoliki la Sumbawanga na Jimbo Katoliki la Mafinga.
Askofu mkuu wake wa kwanza amechaguliwa Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga tarehe 21 Desemba 2018.