IshmaeliFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ishmaeli (au Ismaili, kwa Kiebrania יִשְׁמָעֵאל, Yišmāʻēl: kwa Kiarabu إسماعيلʾ, Ismāʿīl) alikuwa mtoto wa kwanza wa Abrahamu (au Ibrahimu) na Hagari (au Hajiri) kadiri ya Biblia [1]na ya Kurani. Agari na Ishmaeli jangwani kadiri ya François-Joseph Navez.
Ishmaeli (au Ismaili, kwa Kiebrania יִשְׁמָעֵאל, Yišmāʻēl: kwa Kiarabu إسماعيلʾ, Ismāʿīl) alikuwa mtoto wa kwanza wa Abrahamu (au Ibrahimu) na Hagari (au Hajiri) kadiri ya Biblia [1]na ya Kurani. Agari na Ishmaeli jangwani kadiri ya François-Joseph Navez.