From Wikipedia, the free encyclopedia
Mazishi ni taratibu za kuheshimu na kuzika maiti ya mtu au mabaki yake.
Taratibu hizo zinategemea dini na mila za wahusika, hivyo zinatofautiana sana[1].
Mara nyingi mazishi yanaendana na sala kwa ajili ya marehemu.
Kama sivyo kuna kumkumbuka na kukumlilia pamoja na kufariji wafiwa.
Mazishi ni ya zamani sana, inawezekana yalikuwepo kabla ya Homo sapiens kutokea, miaka 300,000 iliyopita.[2][2][3]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.