Habibu wa Edesa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Habibu wa Edesa (alifariki Edesa, leo Şanlıurfa nchini Uturuki, 322) alikuwa shemasi aliyefia imani yake[1] kwa kuchomwa moto[2] katika dhuluma ya kaisari wa Dola la Roma Licinius[3].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Septemba[4] au 2 Novemba[5]