Guria na Samona
From Wikipedia, the free encyclopedia
Guria na Samona (walifariki Edesa, leo Şanlıurfa nchini Uturuki, 322) walikuwa Wakristo waliofia imani yao[1] kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari wa Dola la Roma Licinius[2].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Novemba[3].