From Wikipedia, the free encyclopedia
Fresno ni mji wa tano kwa ukubwa katika California. Eneo lake ni 271.4 km² kuna wakazi 500,017 (2007). Mji upo m 90 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Fresno | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | Fresno | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 500,017 | ||
Tovuti: www.fresno.gov |
Fresno ni kati ya California baina ya Los Angeles na San Francisco.
Mji uliundwa mwaka 1856. Jina la kwanza la mji lilikuwa Millerton.
Jina la Fresno ni ya Kihispania, maana yake ni mti wa ash.
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fresno, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.