Dennis Haysbert
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dennis Dexter Haysbert (amezaliwa tar. 2 Juni 1954) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Nelson Mandela katika filamu ya Goodbye Bafana, mchezaji baseball Pedro Cerrano katika seti ya mfululizo wa filamu ya Major League, Rais David Palmer katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24, na Sajenti Meja Jonas Blane katika seti ya The Unit. Pia, anafahamika sana kwa sauti yake iliozito.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Dennis Haysbert | |
---|---|
Amezaliwa | Dennis Dexter Haysbert 2 Juni 1954 (1954-06-02) (umri 70) San Mateo, California, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1978–hadi leo |
Ndoa | Lynn Griffith (1989-2001) Elena Simms (1980-1984) |
Funga