Dabalo
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dabalo ni kata ya Wilaya ya Chamwino katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41409[1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 26,241 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16115 [3] waishio humo.
Dabalo ina sifa nyingi, kwa mfano bwawa ambalo linaleta maendeleo asilimia 90 kwa kila mwaka na linavutia wageni wengi kuitembelea Dabalo mara kwa mara. Pia Dabalo hufanyika mambo mengi ya kisanaa, kama wacheza filamu, wasanii chipukizi wa muziki, wanafanya vizuri.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.