Mdalasini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Midalasini ni miti mikubwa kiasi ya jenasi Cinnamomum katika familia Lauraceae ambayo gome lao hutumika kama kiungo kinachoitwa dalasini. Jenasi Cinnamomum ina spishi zaidi ya 300 lakini gome la spishi 6 tu huuzwa kama dalasini.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Mdalasini | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mdalasini wa kweli Cinnamomum verum | ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Spishi 6: |
Funga