From Wikipedia, the free encyclopedia
Buffalo ni mji mkubwa wa pili katika New York baada ya New York City. Mji wa Buffalo uko kando la Mto Niagara.
Buffalo | |||
| |||
Mahali pa mji wa Buffalo katika Marekani |
|||
Majiranukta: 42°54′17″N 78°50′58″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | New York | ||
Wilaya | Erie | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 272,632 | ||
Tovuti: www.city-buffalo.com |
Anwani ya kijiografia ni 42°54'N na 78°50'W. Idadi ya wakazi ni 272,632 (2007). Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 183 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Meya wa mji ndiye Byron Brown aliyechguliwa mwaka wa 2005.
Makala hii kuhusu maeneo ya New York bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Buffalo, New York kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.