From Wikipedia, the free encyclopedia
Brisi wa Tours (Turenne, 370 hivi- Tours, leo nchini Ufaransa, 444 BK) alikuwa askofu wa mji huo kwa miaka 47 baada ya mwalimu wake Martino wa Tours (397) [1].
Gregori wa Tours aliandika maisha yake na alivyopambana na matatizo mbalimbali [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Novemba[3].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.