Sulpisi Severi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sulpisi Severi (363 – 425 hivi) alikuwa seneta na askofu mzaliwa wa Aquitaine[1] katika Ufaransa wa leo.

Ni maarufu kwa habari alizoandika kuhusu historia ya Kanisa, na wasifu wa Martin wa Tours.
Gregori wa Tours alisifu hekima yake, juhudi zake kwa uchungaji na kwa kurekebisha maadili yaliyokuwa yameharibika[2].
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Januari[3].
Tazama pia
Tanbihi
Maandishi yake
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.