Atenodori
From Wikipedia, the free encyclopedia
Atenodori (Kaisarea Mpya, 215 hivi – Kaisarea Mpya, Ponto, leo nchini Uturuki, 270 hivi) alikuwa askofu wa karne ya 3.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4c/Grigorii_chudotvoretz.jpg/250px-Grigorii_chudotvoretz.jpg)
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.