Aparan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Aparan (kwa Kiarmenia: Ապարան, pia unajulikana kama Abaran; mpaka 1935, Bash Aparan; zamani uliitwa, Aparanbol, Aparan Verin, Aparanpol, Abaran Verin, P’araznavert, K’asakh, Kasagh, na K’asagh) ni mji uliopo nchini Armenia, uliopo mkoani Aragatsotn, takriban kilomita 50 kutoka kaskazini-magharibi mwa mji wa Yerevan. Mji huu umechanganya wakazi, yaani, kuna Waarmenia na Wakurdi, na idadi ya wakazi 5,711 kwa sensa ya mwaka wa 2001.[1].