Kwa matumizi taofauti ya jina hili angalia hapa Ninga (Njombe)
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Ninga |
Ninga wa Afrika (Treron calvus) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila: |
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli: |
Aves (Ndege)
|
Oda: |
Columbiformes (Ndege kama njiwa)
|
Familia: |
Columbidae (Ndege walio na mnasaba na njiwa)
|
Nusufamilia: |
Treroninae (Ninga)
|
|
Ngazi za chini |
Jenasi 4; spishi 10 katika Afrika:
- Alectroenas G.R. Gray, 1840
- A. madagascariensis (Linnaeus, 1766)
- †A. nitidissimus (Scopoli, 1786)
- A. pulcherrimus (Scopoli, 1786)
- A. sganzini (Bonaparte, 1854)
- Cryptophaps Salvadori, 1893
- Phapitreron Bonaparte, 1854
- Treron Vieillot, 1816
- T. australis (Linnaeus, 1771)
- T. calvus (Temminck, 1811)
- T. griveaudi Benson, 1960
- T. pembaensis Pakenham, 1940
- T. sanctithomae (Gmelin, 1789)
- T. waalia (F.A.A.Meyer, 1793)
|
Funga
Ninga ni ndege wa nusufamilia Treroninae katika familia Columbidae. Spishi nyingi zina rangi ya majani na manjano, nyingine zina rangi ya buluu. Spishi hizi zinatokea Afrika na Asia. Hula matunda, hususa matini. Hulijenga tago lao mitini na jike huyataga mayai mawili.