tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 1 Novemba ni siku ya 305 ya mwaka (ya 306 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 60.
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Watakatifu wote, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Sesari wa Terracina, Beninyo wa Dijon, Austremoni, Marselo wa Paris, Romulo wa Bourges, Severini wa Tivoli, Magnus wa Milano, Vigori, Lisini wa Angers, Maturini, Audomari, Jeromu Hermosilla, Valentino Berriochoa, Petro Almato n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.